Header Ads

FUMBUA FUMBO...!!!

*John Sanga alikuwa ni mwanafunzi Mchoraji, Siku moja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae, Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora ********* kwanye soket ya umeme*
😂😂😂😂😂😂
*UNAHISI MZEE SANGA KAUMIA WAPIII !!!*

No comments:

Powered by Blogger.