Zijue Faida 10 za Mti wa Mlonge
1. Mti wa Mlonge husaidia watu walioathilika kiongeza
cd4 cell (white blood cell) ndani ya
mwili wa binadamu ambayo humsaidia mgonjwa kuondokana
na miwasho katika damu na
kuupa mwili nguvu na kuongeza hamu ya kula
2. Mti
wa Mlonge hutibu maradhi sugu kama vile Kisukali (Kuimalisha na kurekebisha
viwango ya sukari
katika umri wa mwanadamu) ,
Pressure, malaria, homa ya mara kwa
mala,S aratani ya tumbo, hupunguza sonona stress,
huleta hamu ya kunywa maji, jambo
amabalo ni adimu kwa watu wengi pia
huondoa uchovu mwili na kukufanya uwe na afya nzuli,
mchangamfu na mwenye furaha
3. Majani
na maua ya Moringa yanavirutubisho vingi kama vitamin A ( mara tatu zaidi
ya karoti), Vitamini C (mara tatu zaidi ya ile ya
machungwa), calcium (mara 140 zaidi ya
ile inayopatikana katika maziwa ya gombe) na
Potasiamu. Mmea huu umetumika
kusadia udhibiti wa matatanisho yanayoletwa na
ugonjwa wa ukimwi
4. Faida nyingine itokanayo na unga wa
majani ya mti wa mlonge ni kusafishia maji ambayo
ni machafu na kuweza kuwa safi na salama na kuwa
tayari kwa matumizi yoyote ya
nyumbani kama vile kupikia na kunywa hii
inaweza kuwa ni mbadala ya madawa
mengine yanayoweza kutibu maji kama vile
watergard na mengineyo.
5. Majani ya Mlonge yamepachikwa jina la chakula
chenye viwango kwasababu
wanasayansi waligundua yana kiasi cha madini ya
Kalisium yanayoweza kupatiakana katika
glasi nne za maziwa, kiasi cha vitamini c
inayopatikana kwenye machungwa saba, Potasium
ya kwenye ndizi mbivu tatu. Pia unapata
kiasi cha madini ya chuma mara nne zaidi.
6. Majani ya Mlonge yana Vitamin A nyingi kuliko
karoti, vitamin C nyingi kuliko machungwa
na madini ya Potassium nyingi kuliko
ndizi mbivu, halikadhalika ubora wa protini yake ni
bora kushinda maziwa na mayai.
7 Kutokana na kuwa na kiasi kingi cha
madini ya chuma (Iron), kasiamu (Calcium) na
vitamin nyingi za aina mbalimbali,
majani ya mmea huu yamekuwa yakitumika kama ‘tonic’
kwa watoto wadogo na vijana ili
kuimarisha mifupa na kusafisha mfumo wa damu mwilini.
8. Majani
pia huweza kupakwa mwilini katika kutibu majipu na maambukizi ya ngozi. Waweza kutumia majani kama
unavyotumia mchaichai na hapo unatibu MALARIA
bila
kujua.......Majani ya Mlonge yanaweza kutafunwa mabichi,
yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa
unga. Unga wake unaweza kuhifadhiwa kwa
miezi kadhaa bila kupoteza ubora
na faida zake za kiafya huku ukitumia kama kiungo kwenye
mboga na mchuzi (zingatia
usikaushe kwenye JUA)Mafuta kutoka kwenye mbegu
za mti wa Moringa huweza
kutumika katika kupikia na kuwasha katika nyumba. Pia hutumika sana kwenye viwanda
katika utengenazaji wa sabuni na bidhaa za urembo.
Mafuta
hukamuliwa kutoka kwenye mbegu kama ambavyo alizeti
hukamuliwa.
9. Licha ya kuwa
dawa nzuri sana ya kusafisha tumbo (Jaribu kutafuna mbegu zake tatu baada ya
kumenya
huku ukinywa maji mengi sana na kuhakikisha upo jirani na choo) Mbegu za
mti wa Moringa
ni kinga dhidi ya vijidudu (bacteria) wasababishao magonjwa na kuathiri
ngozi.
Pia mbegu
hutuminka katika kusafisha au kuchuja maji ambapo zikipondwa na kuwekwa
10. Mmea wa Mlonge ndio mmea ulio na kiwango kikubwa
cha virutubisho vyenye manufaa kwa mwili wa binadamu na mifugo. Una virutubisho zaidi ya 90 na unaweza
kutumiwa na watu wa umri wote Hakuna
Madhara yoyote ya kutumia Mlonge ambayo yamethibitishwa na wataalamu
asangte sana kwa elimu nzuri juu ya mlonge pia nimekua nikifuatilia mafundisho
ReplyDeletejuu ya mti huu nimepata faida kubwa sana kwa kunywa juice ya mlonge kwani ni juice ambayo kwanza inafanya mwili kuwa confortable sana inaondoa uchovu pia na kuumwa umwa ovyo ni hakuna kama ilivokua kila mwezi kuumwa mafua homa za hapa na pale kwangu imefutika na mengine mengi kwa ujumla nashkuru
Juice yake unatumia majani au mbegu
DeleteMimi ndio nimeanza kutumia, naona iko poa Sana, maana nimeanza kuharisha vitu vya ajabu, Ila mwili upo comfortable
Deleteje, mafuta ya mlonge yanaweza ondoa tatizo la genital warts sehemu za siri?
ReplyDeleteMafuta naweza kuyapataje ya mlonge? Pia nisaidieni juice yake
DeleteKwa mafuta karibu 0682911758 dar es salaam
DeleteUbarikiwe sn uzidi kutuelimisha
ReplyDeleteAsanteni
ReplyDeleteNaitaji mafuta hayo yamoringa nitayapataje?? +255747544835
ReplyDeleteKaribu 0682911758
DeleteJe inatibu vidonda vya tumbo
ReplyDeleteAsante kwa ushauri
ReplyDeleteMim nakula mbegu zake saana je zinakazi sawa na majani na mizizi ama najichosha
ReplyDeleteUko mkoa gani??
DeleteMizizi yake inasaidia kwa kutafuna?
ReplyDelete