Header Ads

Mapaparazi wapewa nafasi ya kumfotoa Jay Z

Huwenda siku ya jana ilikuwa siku ya furaha sana kwake Jay Z kwani akikuwa akisheherekea siku ya kuzaliwa kwake kwa kutimiza miaka 48, ila pia ni siku ambayo hato sahau kwa kuwa ni outing ya kwanza toka alipokiri kuchepuka katika ndoa yake wiki chache zilizopita.

Kuonyesha hivyo Jay Z ambaye ni mume wa mwanamuziki Beyonce , alitoa nafasi ya sekunde kadhaa kwa wapiga picha kutwanga photo akiwa na baby mama wake. Mara nyigi familia hii ya Carter imekuwa ikiwakwepa na kuwakimbia mapaparazi wasiwapige picha ila jana alitoa nafasi hiyo wakati akiwa anataka kupanda lift.
“hurry up and come and get it,” hayo ndiyo ameno yaliyosikika akiongea mtu mzima ay Z wakati mlango wa lifti ukiwa unafunguka.

No comments:

Powered by Blogger.