Orodha ya video 10 za muziki duniani zilizotazamwa zaidi YouTube kwa mwaka 2017 uchambuzi wa MAKTABATZ BLOG
Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2017 hii hapa ni orodha ya video 10 za muziki zilizotazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube kuanzia tarehe 1 Januari 2017 hadi Desemba, 2017.
Wasanii wengi waliofanya vizuri ni kutoka bara la Amerika ya Kaskazini na Kusini ambapo Marekani imetoa wasanii sita, Colombia wawili huku bara la Ulaya likiwakilishwa na Uingereza na Hispania kwa kutoa msanii mmoja mmoja.
Wasanii wenye nyimbo zilizotazamwa zaidi duniani kwenye 10 bora kutoka Marekani ni Jason Derulo, Dj Khaled, Bruno Mars wengine ni Luis Fonsi, Nicky Jam, Chris Jeday wote kutoka katika kisiwa cha Puerto Rico.
Hispania imewakilishwa na mkongwe Enrique Iglesias, Colombia imewakilishwa na Maluma na J-Balvin huku Uingereza ikiwakilishwa na Ed Sheeran kupitia wimbo wake wa Shape of You.
Mabara ya Afrika na Asia hayajafanikiwa kufanya vizuri kwenye orodha hiyo kwani hakuna hata msanii mmoja aliyeingia kwenye orodha hiyo.
1- Luis Fonsi ft. Daddy Yankee – Despacito (Views 4,499,679,732+)
3-J Balvin, Willy William – Mi Gente (Official Video) – Views 1,421,778,870+
4-Maluma – Felices los 4 (Official Video)- Views 1,197,692,561+
5-Bruno Mars – That’s What I Like [Official Video] – Views 1,081,941,244+
6-Chris Jeday – Ahora Dice ft. J. Balvin, Ozuna, Arcángel (Official Video)- Views 1,081,941,244+
7-Nicky Jam – El Amante (Video Oficial) – Views 985,193,726 +
8-Jason Derulo ft. Nicki Minaj & Ty Dolla $ign – Swalla (Official Video)- Views 927,146,074+
9-DJ Khaled ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne – I’m the One (Official Video) – Views 927,146,074+
10-Enrique Iglesias ft. Descemer Bueno, Zion & Lennox – SUBEME LA RADIO (Official Video)- Views 874,737,904+
Wasanii wengi waliofanya vizuri ni kutoka bara la Amerika ya Kaskazini na Kusini ambapo Marekani imetoa wasanii sita, Colombia wawili huku bara la Ulaya likiwakilishwa na Uingereza na Hispania kwa kutoa msanii mmoja mmoja.
Wasanii wenye nyimbo zilizotazamwa zaidi duniani kwenye 10 bora kutoka Marekani ni Jason Derulo, Dj Khaled, Bruno Mars wengine ni Luis Fonsi, Nicky Jam, Chris Jeday wote kutoka katika kisiwa cha Puerto Rico.
Hispania imewakilishwa na mkongwe Enrique Iglesias, Colombia imewakilishwa na Maluma na J-Balvin huku Uingereza ikiwakilishwa na Ed Sheeran kupitia wimbo wake wa Shape of You.
Mabara ya Afrika na Asia hayajafanikiwa kufanya vizuri kwenye orodha hiyo kwani hakuna hata msanii mmoja aliyeingia kwenye orodha hiyo.
1- Luis Fonsi ft. Daddy Yankee – Despacito (Views 4,499,679,732+)
666666
2-Ed Sheeran – Shape of You (Official Video) – Views 2,858,605,799+
No comments: