Header Ads

MAMBO MAKUU MAWILI YANAYO WAFANYA WAPENZI KUENDANA KWA WAGANGA!!


Mambo makuu mawili yanayo wafanya wapenzi kuendeana kwa waganga:

1. KUTOJIAMINI BINAFSI YAKE.
2. WOGA NA WASIWASI WA KUACHWA.

Ukihisi mpenzi wako anakuendea kwa waganga huyo achana nae, Maana mtu ambaye alikupata kwa kauli na mkakubaliana kuwa wawili halafu baadaye anahisi upendo unaompenda nao hautoshi akitaka uzidishe zaidi ya hapo na wakati huo huo yeye binafsi hasimamii kukuongezea upendo ambao utalivusha pendo lenu kwenda kwenye PENDO JIPYA hakika huyo atakupa mikosi na sio jingine, Mapenzi ni UBUNIFU wala sio uchawi, Moyo haulogwi mazeee... Uchawi mzuri wa moyo ROGA KIZUNGU MAHABA BATANIIII! Hapo hata shetani atakiri ya kuwa MUNGU mkubwa, Bebeshwa matunguri na mtu ambaye amemfanya mkewe/Mumewe kuwa MSAGA UNGA WA MADAWA halafu anakwambia nenda kamroge Mke/Mume wako atafuata utakayo wakati umejawa ubabe na dharau, Nikwambie? Ulimi laini ni suruhisho la MAPENZI... Huna haja ya kubebeshwa mizigo wakati siraha uko nayo ni vile hujui na hutaki kujuwa, Yapambe mahusiano/Ndoa yako kwa kujituma na kuwa mwingi wa ubunifu uone kama kuna haja ya kuogopa ama kuhisi wasiwasi kwenye Mapenzi yako, Kama unaamini muunganiko wako na mwenza wako ulipangwa na MUNGU hebu paza sauti utamke AMEN.
#MAKTABATZ_kasema_ila_sio_sheria

No comments:

Powered by Blogger.