Header Ads

MWANAMKE MZURI NI WA AINA GANI?...

Mwanamke mzuri anapatikana kwenye kundi kubwa la wanaume, na mshindi lazima awe mmoja, Maana mwanamke ameumbwa kwa ajili ya Mwanaume mmoja... Ukiona umependwa na Mwanamke usijione kama wewe ni wa maana sana ila chukulia kuwa umekuwa sehemu ya moyo wake wala si jingine, Mwanaume Simama kumlinda MKEO huku ukijuwa AMEKUPA UPENDELEO MOYONI MWAKE! Maana hukuwa peke yako ila walikuwepo na wapo wengi waliopanga awe wao.
#MAKTABATZ_kasema_ila_sio_sheria. 💃💃

No comments:

Powered by Blogger.